Habakkuk 3:9-11


9 aUliufunua upinde wako
na kuita mishale mingi.
Uliigawa dunia kwa mito;

10 bmilima ilikuona ikatetemeka.
Mafuriko ya maji yakapita huko;
vilindi vilinguruma
na kuinua mawimbi yake juu.


11 cJua na mwezi vilisimama kimya mbinguni
katika mng’ao wa mishale yako inayoruka,
na katika mng’ao wa mkuki wako umeremetao.
Copyright information for SwhKC